Marejeleo - Sura ya 3.

  1. Sætra HS, Fosch-Villaronga E. Healthcare Digitalisation and the Changing Nature of Work and Society. Healthcare. 2021 Aug 6;9(8):1007. 
  2. Stark AL, Krayter S, Dockweiler C. Competencies required by patients and health professionals regarding telerehabilitation: A scoping review. Digital Health. 2023;9. 
  3. World Health Organization, International Disability and Development Consortium. Capturing the difference we make: Community-based Rehabilitation Indicators Manual [Internet]. 2015. Available from: https://www.iddcconsortium.net/wp-content/uploads/2019/11/2015-CBRTG-IDDC-WHO-Capturing-the-difference-we-make-Community-based-Rehabilitation-Indicators-Manual.pdf
  4. World Health Organization. Rehabilitation Competency Framework [Internet]. 2021. Available from: https://iris.who.int/bitstream/handle/10665/338782/9789240008281-eng.pdf?sequence=1
  5. European Commission. Joint Research Centre. DigComp 2.2, The Digital Competence framework for citizens: with new examples of knowledge, skills and attitudes. [Internet]. LU: Publications Office; 2022 [cited 2024 Apr 15]. Available from: https://data.europa.eu/doi/10.2760/115376

Kiambatisho: Hojaji kwa wataalamu wa huduma za utengamao 

Sehemu ya 1: Maelezo mafupi ya demografia. 

1.1. Utaalamu wako ni upi?

o utaaluma wa kazi

o daktari wa viungo vya mwili

o utaalamu wa viungo bandia na daktari wa mifupa

o utaalamu wa usemi

o nyingine, taja tafadhali:

1.2. Umri wako uko katika kundi gani?

o Chini ya miaka 30

o Miaka 30-39

o Miaka 40-49

o Miaka 50-59

o 60 au zaidi

o Napendelea kutojibu

1.3 Jinsia yako ni gani?

○ Mume

o Mke

o Napendelea kutojibu

1.4. Kiwango chako cha kuhitimu masomo ni gani?

o Stashahada

o Shahada

o Uzamili

o Uzamifu

1.5. Miaka ya uzoefu wa kufanya kazi kama mtaalamu wa huduma za utengamao:

○ chini ya Miaka 5

○ miaka 5-9

○ miaka 10-14

○ miaka 15-19

○ miaka 20-24

○ miaka 25 au zaidi

1.6. Kiwango cha kituo chako cha afya ni gani?

○ Kituo cha afya

○ Hospitali ya Wilaya

○ Hospitali ya Mkoa

○ Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa

○ Nyingine, taja………………

1.7. Eneo la mahali pako pa kazi ni gani?

○Vijijini

○Nusu-mji

○Mjini

Sehemu ya 2: Umilisi wa kidijitali

Swali: Je, unaweza kufanya yafuatayo?

  Sikubaliani kabisa Sikubaliani Isiyohusika Nakubaliana Nakubaliana kabisa
  1. Ujumbe na ujuzi wa data

1.1 Je, unaweza kusakura, kutafuta na kuchuja data, ujumbe, na maudhui dijitali?

1.2 Je, unaweza kutathmini data, ujumbe, na maudhui dijitali?

1.3 Je, unaweza kudhibiti data, ujumbe, na maudhui dijitali?

2.Kuungana na kuwasiliana

2.1 Je, unaweza kuingiliana kupitia teknolojia ya kidijitali?

 

         

2.2 Je, unaweza kushiriki kupeana ujumbe kupitia teknolojia ya kidijitali?

 

         

2.3 Je, unaweza kujihusisha na uraia kupitia teknolojia ya kidijitali?

 

         

2.4 Je, unaweza kushirikiana kupitia teknolojia za kidijitali?

 

         

2.5 Je, unaweza kutumia taratibu za itifaki unapotumia teknolojia za kidijitali (kuwasiliana kwenye mtandao)?

 

         
2.6 Je, unaweza kudhibiti kujulikana kidijitali          

3.Uundaji wa maudhui ya kidijitali 

3.1 Je, unaweza kutengeneza maudhui ya kidijitali?

 

         

3.2 Je, unaweza kuunganisha na kufafanua upya maudhui ya kidijitali?

 

         

3.3 Je, unaweza kutumia sheria za hakimiliki na leseni zinazohusiana na data, taarifa za kidijitali na maudhui?

 

         

3.4 Je, unaweza kufanya programu?

4.Usalama

4.1 Je, unaweza kulinda vifaa?

4.2 Je, unaweza kulinda data ya kibinafsi na siri?

4.3 Je, unaweza kulinda afya na ustawi?

 

         

4.4 Je, unaweza kulinda mazingira?

5.Kutatua tatizo

5.1 Je, unaweza kutatua matatizo ya kiufundi?

 

         

5.2 Je, unaweza kukidhi mahitaji na majibu ya kiteknolojia?

 

         

5.3 Je, unaweza kutumia teknolojia ya kidijitali kwa uwazi?

 

         

5.4 Je, unaweza kuficha mapengo ya umilisi wa kidijitali?